Mshambuliaji Kylian Mbappe amefikia rekodi ya Zlatan Ibrahimovic kaatika upachikaji mabao katika klabu ya Paris Saint-Germain na kuwa mchezaji wa pili baada ya kufunga magoli mawili kwenye usshindi wa 3-1 dhidi Saint-Etienne siku ya Juammosi.

Mbappe Amfikia Ibrahimovic kwa Mabao PSG

Mchezaji huyo ambaye kandarasi yake itaacha kufanya kazi mwishoni mwa msimu huu ameifungia PSG jumla ya mabao 166 sawa na Zlatan nyuma ya Edinson Cavani ambaye ndiye mfungaji bora wa muda wote klabu hapo akiwa ameweka kambani mabao 200.

Mbappe amekuwa akiripotiwa kuhamia Real Madrid kwa uhamisho wa bure wakati wa dirisha la usajili majira ya Kiangazi na winga huyo atahitaji msimu mmoja zaidi kama anataka kuifikia rekodi ya Cavani.

Mbappe alisema baada ya mechi kuisha “Nimemfikia Ibrahimovic na kama kutakuwa hakuna tatizo basi nitampita.

“Rekodi ya Edi inabaki kuvunjwa tutaona jinsi itakavyo kuwa. “Huwezi kupuuza matarajio ya kuwa mfungaji bora katika historia ya PSG.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa