Maamuzi Magumu kwa Kylian Mbappe

Kylian Mbappe alikosa penati ya tano ya Ufaransa dhidi ya Switzerland katika michuano ya Euro 2020 na Les Blues kutolewa kwenye mashindano, kwa hiyo sasa masikio yote yamegeukia katika hatma yake kwenye klabu huko Paris.

Maamuzi Magumu kwa Kylian Mbappe

Real Madrid wamekuwa wakiifuatilia kwa ukaribu hali ya mchezaji huyo na makataba wake unatarajiwa kuisha mwaka ujao, lakini atalazimika kwenda mapumziko ili aweze kusahau hali yake ya kukosa penati.

Mbappe anaweza kulazimisha kuondoka PSG au atasubiri kuondoka kama mchezaji huru mwaka ujao. Hata katikati ya michuano ya Euro 2020 Mbappe alikiri wakati wa mahojiano na Franve Football kwamba atajaribu kupata uzoefu tofauti na klabu nyingine.

Hatua inayofuata kwa Mbappe ni kukaa chini na rais wa klabu Nasser Al-Khelaifi na mkurugenzi wa michezo Leonardo ili aweze kufanya maamuzi lakini wamekuwa wakimpa wakati mgumu Mfaransa huyo kwamba hawato silikiliza ofa yoyote wakati huu na wanafikiria kumpa mkataba mpya Mbappe.

Real Madrid, wakati huo huo, wanaendelea kusubiri maendeleo yoyote. Los Blancos ataingia tu kwenye uwanja ikiwa Mbappe ataamua kulazimisha kutoka PSG msimu huu wa joto na kuwafanya wamiliki wa klabu wasikilize ofa kwa ajili yake.

Swali ni je Mbappe ataamua kusalia Paris Saint-Germain au atalazimisha kuondoka kabla dirisha la usajili halifungwa?


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

Acha ujumbe