Klabu ya Manchester United imelinda udhamini wa jezi zao kwa kuingia makubaliano na TeamViewer dili yenye thamani ya £235m sawa na ($326m) kueleka kumalizika kwa mkataba wao na Chevrolet.
Dili ambayo ambayo ndiyo udhamini mkubwa katika Premier League itashuhudia nembo ya TeamViewer ambayo itakuwa na rangi nyeupe itakaa mbele kwenye tisheti za Man United mwanzoni mwa msimu ujao.
Chevrolet wamekuwa wadhamini wakuu wa fulana za United karibu miaka saba licha ya kuongeza makubaliano ya miezi sita ambayo itawepeleka mpaka nusu ya msimu ujao na hakuna mpango wowote wa kuongeza mpaka miaka nane.
TeamViewer ni kampuni la Kijerumani linalo jihusisha na masuala ya tecknolojia lililoanzishwa mwaka 2005. Linazalisha software ambayo hupakuliwa na kutumika katika rimoti na matengenezo ya Kompyuta na vifaa vingine.
Man United waliamua kushirikiana na TeamViewer baada ya kuona wanafaa kwa sababu wana nguvu na wanamvuto katika kupanua soko la kimataifa.
Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.



Caroline
Asante kwa taarifa
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri sana
Sarah
Vizuri sana
Venerose
Asante kwa makala
Adelta
Ni vizuri
Dorophina
Habari njema
Hopemwaikuka
Fresh
Neema juma
Hii ni safii sana
warda
Hongera yao