Rashford Ampa Pole Smalling Kwa Kuvamiwa na Wezi

Marcus  Rashford ameonesha sapoti yake kwa Chris Smalling baada ya mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United kuripotiwa kuwa muhanga wa uvamizi wa silaha.

Rashford Ampa Pole Smalling Kwa Kuvamiwa na Wezi

Smallimg na familia yake walisema walikuwa nyumbani huko Appia Anticia katika wilaya ya Roma pale wanaume watatu wakiwa na silaha walipo vunja mala na kutaka wafungue kwa usalama.

Wezi hao waliripotiwa kuchukua saa aina ya Rolex na vito vya thamani na kiasi fulani cha pesa za Smalling.

La Gazzetta dello Sport lilisema mke wa Smalling ndiye aliyepiga simu polisi mida ya 5:00 saa za huko siku ya Ijumaa na uchunguzi umeanzakufanyiwa kazi.

Starika wa Man United Rashford alimtumia mchezaji mwenzake wa zamani ujumbe wa pole kupitia akaunti yake ya Twitter: “Nafikiria kuhusu wewe @chrisSmalling na familia yako pendwa, pole sana kwa tatizo lililokupata, sipati picha unajisikiaje lakini nimatumaini yangu upo sawa.

Smalling aliumizwa  hivi karibuni na hakucheza siku ya Alhamisi Roma ilipocheza dhidi ya Ajax katika michuano ya Europa League hatua ya robo fainali mchezo wa marudiano.


JILIPE KWA NAMBA ZAKO ZA BAHATI NA KENO

Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.

CHEZA HAPA

4 Komentara

    Smallimg pole Sana

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Rashford amefanya jambo la kiuungwana kabisa

    Jibu

    Pole yake wezi sio watu wazuri

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.