Klabu ya Simba inatarajia kuhitimisha kilele cha wiki ya Wekundu wa Msimbazi maarufu kama “Simba Day” siku ya Jumapili katika uwanja wa taifa, Benjamin Mkapa Stadium ambapo kutakuwa na mambo mbalimbali siku hiyo.

Simba Day Kupambwa na Mechi Dhidi ya TP Mazembe
Mascot (Vinyago) wa Simba

Kuelekea Simba Day wadhamini wakuu wa klabu hiyo Mo 29 na Mo Extra wamezindua Mascot kwaajili ya timu hiyo kinyago hicho kimepewa jina la Mo Rafiki na kitakuwa kinapatikana kila sehemu ambapo timu itakuepo kwaajili ya kuongeza hamasa na watakuwa wakitoa zawadi mablimbali mtaani kwa mashabiki.

Mbali na hayo sherehe ya Simba Day zitamalizwa mechi kali ambayo itazikutanisha timu ya Simba dhidi TP Mazembe kutoka Congo mnamo Septemba 19 mwaka huu.

Much appreciated

Kiungo wa timu ya taifa ya Zambia Rainford Kalaba atakuwa sehemu ya kikosi cha Mazembe watakao tua katika aridhi ya Tanzania ambapo katika msafara huo utakuwa na jumla ya watu 35 wachezaji 23 na viongozi 12.

Tiketi za Tamasha la Simba Day zinapatikana wakati tiketi za VIP A tayari zimekwisha katika vituo vyote huku zile za Mzunguko na VIP B na C zikiendelea kununulika kwa kasi.


 

MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa