Thomas Tuchel amemuelezea Ngolo Kante kama zadi kubwa ya Chelsea baada ya mchezaji huyo mtaifa wa Ufaransa kuwa mchezaji muhimu katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Atletico Madrid katika mchezo wa Ligi ya Mabigwa siku ya Jumatano.

Kante alikuwa kifaa muhimu katika eneo la katikati kwenye magoli ya Hakim Ziyech na Emerson mchezo uliyopigwa katika dimba la Stamford Bridge na chelsea kusonga hatua ya robo fainali kwenye michuano hiyo, Tuchel alimuelezea mchezaji huyo kuwa na umuhimu katika kikosi chake
Wastani wa pasi za Kante ni asilimia 87.7 na alikuwa mchezaji asiyechoka wakati wa mchezo dhidi ya viongozi wa LaLiga.
Tuchel amesifu mchango wa Kante,aliwaambia maripota: “Sijui umri wa wachezaji wangu naweza kuwachagua kwa kuangalia kiwango chao, ukicheza na Ngolo Kante mara nyingi utapata zaidi.
Chelsea hajafungwa katika michezo 14 mfululizo kwenye mashindano yote na hajafungwa mechi 13 tangu Tuchel achukue nafasi ya Frank Lampard kama kocha mkuu mwezi Januari 26.
The Blues wapo nafasi ya nne katika jedwali la Premier League huku wakijiandaa na mchezo FA Cup hatua ya robo fainali dhidi ya Sheffield United siku ya Jumapili.
Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Inapendeza
Safi sana
Vizuri sana
Kante yupo vizuri
Vizuri
Fresh
Vizuri
Kante anamchango mkubwa sana chelsea
Kante anajitahidi kiasi fulani