Unstoppable De Bruyne Afikisha Asisti ya 100.

Kevin De Bruyne alitengeneza asisti ya 100 kwa Manchester City kwenye mashindano yote na krosi nzuri ambayo iliunganishwa ufunguzi wa John Stones dhidi ya Crystal Palace.

Unstoppable De Bruyne Afikisha Asisti ya 100.

Kwa kuwa hapo awali alikuwa amekaribia kufikisha historia hiyo wakati alipojaribu kumtengenezea Raheem Sterling, De Bruyne alifikia idadi hiyo 100 (karne)  kwa mtindo bora katika dakika ya 26 siku ya Jumapili.

Baada ya Palace kushindwa kuzuia mipra wa kona, De Bruyne alipiga krosi safi ya mguu wa kulia,na kumfikishia Stones aliye unganisha kwa kichwa, na Stones alisherehekea bao lake la pili la Ligi Kuu na la kwanza kwa City.

Inamaanisha mchezaji wa Ubelgiji sasa ameunda magoli 31 zaidi katika Premier League hakuna mchezaji mwenye idadi nyingi ya assist tangu alipoanza kuichezea City mwaka 2015.

Katika rekoddi yake ya asisti 100, 75 zimetoka kwenye Ligi Kuu, kutoka katika mechi 165, wakati mchezaji huyo wa miaka 29 ametengeneza mabao 15 kwenye Ligi ya Mabingwa, katika michezo 37 iliyocheza.

Mengine matano yametokea kwenye Kombe la FA, na manne kwenye Kombe la EFL – ambalo City walishinda mara nne wakati wa De Bruyne na klabu – na moja ilipatikana kutokea kwenye kufuzu Ligi ya Mabingwa.


USHINDI UPI NI MKUBWA KWAKO, £2,000,000? 🤑

Pokea mualiko wa Meridianbet na Pragmatic Play kutengeneza mkwanja kwenye kasino ya mtandaoni sasa. Jiunge sasa kupata ishindi huu.

INGIA MCHEZONI

19 Komentara

    De Bruyne yuko vizuri

    Jibu

    De bruyne Yuko poa

    Jibu

    De bruyne anafanya poa

    Jibu

    Bruyne yupo vizuri sana

    Jibu

    Bruyne jembe

    Jibu

    Safi kwa kazi nzuri

    Jibu

    De Bruyne fundii

    Jibu

    De bruyne Yuko poa

    Jibu

    Kaz kaz kijana

    Jibu

    kazi nzuri de bryune

    Jibu

    Safi san brayune

    Jibu

    Kazi kazi

    Jibu

    DE Bruyne hana mpinzani kwenye ulimwengu wa soka kwa sasa

    Jibu

    Mkali wao

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    Wapo vizuri

    Jibu

    Kijana yuko vzr

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Naamini mpaka leo Chelsea inajilaumu mno kwa kuuza jembe hili

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.