Wawili wa Kaizer Kuikosa Simba kwa Mkapa

Nyota wawili wa kikosi cha Kaizer Chiefs wanatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao ni wa robo fainali ya pili unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 22. 

Wachezaji hao ni pamoja na kiungo Khama Billiant raia wa Zimbabwe na Dumisani Zuma ambao wanasumbuliwa na majeruhi.

Kaizer Khama

Simba ina kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya dakika 90 baada ya ule wa kwanza uliochezwa Uwanja wa FNB Soccer Citym ubao kusoma Kaizer Chiefs 4-0 Simba.

Kaizer Dumisani

Uongozi wa Simba uliweka wazi kwamba una mlima mzito wa kusaka ushindi kwenye mchezo huo ambao utakuwa na ushindani mkubwa.

Kikosi cha Kaizer Chiefs kinatarajiwa kutua ndani ya wiki hii ili kufanya maandalizi ya mwisho huku tayari wakiwa wameshatumwa wawakilishi wao Bongo kuandaa mazingira.


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

BASHIRI SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.