Xavi: Aubameyang ni Zawadi Kutoka Peponi

Kocha mkuu wa Barcelona amesema kwamba mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang ni kama zawadi kutoka peponi baada ya mchezaji huyo kufanya vizuri ndani ya Barcelona.

Xavi: Aubameyang ni Zawadi Kutoka Peponi

Aubameyang alifunga bao katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Osasuna siku ya Jumapili akiwa amefunga mabao sita katika michezo tisa aliyocheza tangu atue Camp Nou akitokea Arsenal wakati wa dirisha la usajili la Januari.

Auba ana wastani wa kufunga goli wa 0.96 ndani ya dakika 90 kwenye mashindano yote ukilinganisha na alivyokuwa The Gunners wastani wa 0.57 kwenye mashindano yote kabla ya kutimikia Barca.

“Aubameyang ni zawadi kutoka peponi,” Xavi alisema baada ya timu yake kupata ushindi wa nne mfululizo wa LaLiga.

“Yeye ni mchezaji mzuri ambaye mara zote huingia kwenye chumba akiwa katika hali nzuri na huzoea haraka mazingira mapya.

Barca wameingia katika wiki ya El Classico wakiwa katika fomu nzuri wakiwa hawajapoteza katika michezo 11 iliyopita kwenye mashindano yote.


SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI

Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.

liverpool, Liverpool Kila Mtu Ashinde Mechi Zake., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.