FA: Tunatarajia Chelsea Kuuza Tiketi Kwenye Mchezo wa FA Cup

Chama cha soka nchini Uingereza FA wamesema wako kwenye mazungumzo na serikali kwa ajiri ya kuiruhusu klabu ya Chelsea kuweza kuuza tiketi kwenye mchezo wa nusu fainali ya FA Cup dhidi ya Crystal Palace.

Vikwazo alivyowekewa mmiliki wa timu hiyo na Serikali, vimeiathili klabu ya Chelsea kwenye nyanja mbalimbali za kiutendaji wake wa kila siku huku wakipewa kibali maalum cha uendashaji huku wakizuiwa kuuza tiketi mpya na serikali.

FA

 

“Tunatarajia kuuza tiketi kwenye michezo yetu yote ya nusu fainali ya Emirates FA Cup kwenye uwanja wa Wembley,” msemaji wa FA alisema.

“Hii ikuhusisha tiketi za kwa mashabiki wa chelsea kwenye mchezo wao dhidi ya Crystal Palace, na tunafanya kazi serikali kuangalia njia ya kufanikisha hili wakati tukiheshimu vikwazo vilvyopo kwa sasa dhidi ya Chelsea.”


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

Acha ujumbe