FIFA Yakana Mpango wa Kuongeza Dakika 100

Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA wakana mpango wa kuongeza dakika kutoka zile za awali 90 hadi 100 kwenye michezo ya kombe la dunia  ambalo linakwenda kufanyika nchini Qatar mwaka huu.

Taarifa za kuwa shirikisho hilo limepanga kufanya mabadiliko siku ya leo jumatano, kuwa FIFA wamepanga kufanya mabadiliko ya dakika kwenye michezo ya kombe la dunia mwaka huu.

Corriere dello Sport lilitoa taarifa za kudai kuwa wazo hilo lilitoka moja kwa moja kwa raisi wa shirikisho hilo Gianni Infantino, lakini wazo lolote linalotolea na shirikisho hilo linahitaji kupata kibali cha uthibitisho kutoka IFAB.

Masaa machache baada ya tetesi hizo kuzagaa kuhusu kuongeza dakika za  mchezo, FIFA wameamua kulioandoa kabla hata kulipeka kwenye bodi ya IFAB  kwa ajiri ya kibali cha uthibitisho.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

Acha ujumbe