Jesus : Nataka Kuwa Kama Ronaldo.

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester City Gabriel Jesus alihusika kwenye ushindi wa 2-1 dhidi ya Real Madrid wakiwa dimba la Etihad siku ya Ijumaa kwenye mchezo wa marudiano kwenye mashindano ya Champions League na wamefuzu kusonga kwenye hatua ya robo fainali.

Alianza kwa kucheza upande wa kushoto katika safu ya City ya ushambuliaji, Jesus alitumia vyema kosa lililofanywa mapema na beki wa Madrid Raphael Varane na kumpasia Raheem sterling aliyefunga goli la ufunguzi.

Karim Benzema aliweza kuisawazishia timu yake dakika 28 ya mchezo lakini Jesus alibadili nafasi nakuja kucheza kama mshambuliaji wa kati baada ya mapumziko Varane alifanya kosa jingine na Jesus alifunga goli la pili katika dakika 68 na kufanya dakika 90 ubao wa matokeo usome 2-1.

“Unajua,napambana kuwa mshambuliaji mkubwa,” aliiambia BT Sport.

“Kila siku nacheza kwa bidii iliniwe kama mshambuliaji Ronaldo alivyokuwa.

‘Najua ubora wake ni wa tofauti na mimi.”

Ni kweli kuitwa kwa Jesus ilikuwa na umuhimu kwa Guardiola katika mechi zote, na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 aliwafunga Real Madrid kwenye mchezo wa Awali katika uwanja wa Bernabeu.

“Nimependa mchezo wa mwisho tumekimbiza sana, tumecheza vizuri na kufunga magoli,” alisema Mbrazil huyo.

“Hiyo inaumuhimu sana kwetu dhidi ya klabu kubwa kama Real Madrid klabu bora kabisa katika mshindano haya, kwetu sisi huu ni ushindi mkubwa.

Lyon walimalizana na Juventus ingawa Juve alishinda mchezo huo lakini aliondolewa kwenye michuano kwa faida ya goli la ugenini walilopata Lyon hivyo basi robo fainali itawakutanisha Man City na Lyon.


Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.

Ingia mchezoni

39 Komentara

    Vizuri dogo ukikaza buti utakuwa kama yeye naunaweza kipaji chako kikazidi zaidi Jesus piga kazi dogo

    Jibu

    Kaza buti kweli kweli ili uwe kama Ronaldo

    Jibu

    Kikubwa nia tu kila kitu kinawezekana kwa uwezo wake halionesha pale uwanjani na kuja kufunga magoli 2 zidi ya mapinzani wao Real Madrid kama hataendelea hivyo ivyo naimani ndoto zake zitafikia

    Jibu

    Ongeza bidii, utamfikia.

    Jibu

    Ajitahidi tu

    Jibu

    Ongeza juhudi#meridianbettz

    Jibu

    Juhudi zinaitajika

    Jibu

    Nia ikiwepo kwa kila jambo inawezakana

    Jibu

    Jitahidi sana unaweza ukawa kama yeye hakuna kinachoshindikana

    Jibu

    Ukimuangalia Gabriel Jesus vizuri unamuona kama mshambuliaji hatari kwenye soka lakini kama pia anahitaji muda zaidi kudhihirisha hili, Ni wakati wake sasa kufanya kile kitu ambacho yeye anahisi anaweza fanya, Tunaona kwa upande wa City bado anakuwa kama Mbadala wa Aguero

    Jibu

    Mchezo wa mpira siku zote ukitaka kua na mafanikio makubwa ni nidhamu na kujituma kwa juhudi zote utafika mbali.

    Jibu

    Yupo vizuri kimpira akiongeza nia atafikia kiwango anachokitaka au anaweza hata akamzidi huyo cr7

    Jibu

    Jitaid

    Jibu

    Kila kitu kinawezekana kwa kuamini moyoni kwamba unaweza. Anatakiwa kudhihirisha hilo msimu ujao kuchukua nafasi Aguero aliye majeruhi#meridianbettz

    Jibu

    Jesus yupo vizuri lakini kusema kufikia kiwango cha Ronaldo hawezi kamwe

    Jibu

    Kila kitu malengo na kujitahidi atafika anapotaka

    Jibu

    Kila la kheri kikubw kujitumah tu hapo

    Jibu

    Yeah inawezekana kama utajituma

    Jibu

    Aongeze bidii

    Jibu

    Gabriel anaweza kuwa kama Ronaldo sawa Ila aongeze bidii san tuone ubora wake

    Jibu

    juhudi tu zinahitajika#meridianbettz

    Jibu

    afanye jitihada sana ili aweze kufikia malengo yake

    Jibu

    Jesus ni mzuri sana ingawaje majeruh yanamfanya awe nje ya dimba lakini akicheza bila majeruh anwez kufika levo za ronaldo

    Jibu

    Anakipaji Sana na gor analijua

    Jibu

    Aongeze bidii

    Jibu

    Pambana

    Jibu

    Weka nia utakua tu

    Jibu

    ukiwa na nia kila kitu kinawezekana

    Jibu

    Gabriel yuko vzur sana

    Jibu

    Gabriel Jesus hutakuwa kikubwa kujipa moyo mwenyewe kujiweka sawa hanaweza pia akampita mpk Cristian Ronaldo hata mm pia ni shabiki wako mzuri Sana huwa naangalia kuanzia timu hunayochezea ya Manchester city mpaka timu yako ya taifa ya Brazil

    Jibu

    Ajitaidi akunalinalo shindikana

    Jibu

    Pence now pana njia zidi kupambana hataweza kumfikia#meridianbett

    Jibu

    Akipambana anaweza maana goal analijua sana bwamdogo

    Jibu

    Ukisikia mchezaji anaota ndoto za mchana ni huyu duuhhhhhh

    Jibu

    Jitihada lazma ziongezwe

    Jibu

    Kila kitu kinawezekana ni juhudi tu

    Jibu

    Jitahidi utakua tu

    Jibu

    Jitihada huzaa matunda jitahid sana

    Jibu

    Akaze buti tu

    Jibu

Acha ujumbe