Manchester United bado hawasajili mchezaji yoyote mpaka sasa wanaendelea kuangaza huku na kule na ripoti zilidai kwamba wanavutiwa na kiungo wa Barcelona Frenkie de Jong lakini ni kama mchezaji huyo hana nia ya kujiunga na mimba hao wa EPL.

De Jong Awapandishia Vioo Man United

De Jong ameonyesha shauku yake ya kutaka kuendelea kuitumikia Barca ingawa The Blaugrana wanataka kuingiza pesa hivyo wapo tayari kumuuza mchezaji huyo wa kimataifa wa Uholanzi.

De Jong alijiunga na Barcelona mwaka 2019 akitokea Ajax na ameweza kujipata VYEMA ndani ya kikosi cha Xavi akiwa moja ya wachezaji muhimu katika mradi wa Xavi  Hernandez.

“Unafurahishwa kila wakati timu zinapoonyesha nia ya kukuhitaji kama mchezaji lakini niko kwenye klabu kubwa zaidi duniani kwa sasa na ninahisi vizuri pale, kwa hivyo hakuna habari,” De Jong alisema baada ya Uholanzi kushinda 3-2. juu ya Wales sioku ya Jumanne.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa