Kaka wa beki wa timu ya Tottenham Serge Aurier amefariki, klabu hiyo ya Premier League yathibitisha.
Spurs wametoa maelezo kwenye mitando ya kijamii kwa kuthibitisha kwamba Christopher Aurier ameuwawa mapema siku ya Jumatatu.
Ripoti za Ufaransa zime eleza ni jinsi gani alivyo pigwa risasi alipo hudhuria klabu za usiku mjini Toulouse.
Christopher Aurier alikuwa na umri wa miaka 26 na kipindi cha nyuma alisha wahi kupewa ofa ya kusajiliwa na timu ya Lens wakati alipokuwa akicheza katika vilabu vingine vinavyo shiriki Ligi ndogo ya Ufaransa.

Taarifa ya Tottenham ilisomeka kama ifuatavyo: “Klabu inasikitika sana kuthibitisha kutoka vyombo vya habari kwamba kaka wa Serge Aurier ameaga dunia masaa ya mapema Asubuhi ya leo.
“Kila mtu kwenye klabu ametuma salamu za pole kwa Serge na familia yake. Tupo pamoja katika kipindi kigumu na wote.
Serge Aurier mwenye umri wa miaka 27, alicheza dakika zote 90 kwenye debi yao na Arsenal ambapo Spurs ilibuka na ushindi wa 2-1 katika Premier League siku ya Jumapili pia Serge ni nahodha wa timu ya taifa ya Ivory Coast.
Mdogo wake huyo pia alikuwa ni mtaifa wa nchi hiyo iliyopo ukanda wa Afrika magharibi.
Kuna ofa kibao sana unazofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet Jiunge sasa kufurahia ofa zetu.
Bonyeza HAPA Kujiunga.


Issa
Pole sana segie mungu akusaidie uwe na moyo thabit kipindi hiki ulichoondokewa na braza wako
Franky
Taharifa za kusikitisha kwa Serge Aurier…
Omary lukumbi
Serge mungu amtie nguvu katika kipindi hiki kigumu anacho pitia kuondokewa na kaka yake R.I.P Christopher
Edgar
Pole sana Serge Aurier kwa msiba mzito…
Magdalena
Habari mbaya Sana Pole Sana Serge
Njiku
Duuh pole sana kwa msiba aurier
JULIANA
Pole sana kwakuondokewa na kaka yake kipenzi
Lydia Emmanuel Magoti
Duu kitendo kilicho fanyika niumafya pole Sana Wana Serge
Shafii
Rip
isha
Pole sana serge kwa kuwawa kaka ako tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu kwako
Isaya massawe
Mungu aitie nguvu familia katika kipindi hiki kigumu
Hope mwaikuka
Mbele yake nyuma yetu
Adelta
R.I.P
caroline
dah jmn .R.I.P Kaka
farida ahmadi
Pole Sana serge
Furahav
R.I.P
Mwanahamisi
Pole sana
Tatu
Pole sana
Angelina
Bad news
Angelina
R.ip
devotha
Rest in peace Christopher Aurier;
pole sana Serge Auriel Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki cha majonzi kwako
Hamidu
Rip
Rehema
Duuh!
Revina
Duh ni habari mbaya kwa Serge
fatumakasom
R.I.P
sabrina
R.I.P
Povel tz
Duh habar mbaya sana kwa aurier mungu amuongozeh katika kpnd hk kigumu
Amiri Kayera
Pole San mwamba
Samiah
Duuh nihabari zakusikitisha
Ernest
Habari ya kusikitisha sana
Latifa juma mohamed
Oohhh it so sad rest in peace.
tumaini
R.I.P
David Pere
R I P KAMANDAA
Mwajuma msangi
R.I.p
Ester jackson
Pole sana senego kwa kuondokewa na kaka yako wote safari moja
Dorophina
Habari ya kuuzunisha kw serge RIP christopher
Genia Sikaluzwe
Ni habari za kusikitisha Sana hizi
Zeiyana
r i p
felister
Binadamu ni mavumbi mavumbini tutarejea raha ya milele umpe eeh bwna na mwanga wa milele umuangazie
Neema juma
Inahuzunishaaa poleni wafiwa
Salma
Apumzike kwa amani
Flomena
Pole Sana kwa familia ya kiungo huyo
Saupha mohamed
Duuu rip