Kocha mkuu wa timu ya Barcelona, Ronald Koeman alihisi kwa bahati mbaya Clement Lenglet angetolewa nje kwa kadi nyekundu kwenye mchezo ambao Barcelona ilishinda 3-0 dhidi ya Celta Vigo lakini amewasifu wachezaji wake kwakujishusha.
Lenglet alioneshwa kadi ya pili ya njano dakika za mwisho za kipindi cha kwanza baada ya refa Carlos de Cerro Grande kuhisi mlinzi huyo alimchezea madhambi Denis Suarez.
Wakati huo Barca ilikuwa ikiongoza kwa goli moja goli lililofungwa na kinda Ansu Fati na kufanya Barca kupata ushindi wa pili katika mechi mbili za LaLiga, Lucas Olaza lijifunga baada ya kazi nzuri iliyofanywa na Lionel Messi na Sergio Roberto aliongeza goli la tatu na kupelekea Barcelona kutoka kifua mbele kwa ushindi wa 3-0.

Koeman alimuhurumia Lenglet kwa kupewa kadi za njano mbili kwani alikuwa na umuhimu sana katika safu ya ulinzi ya Blaugrana.
“Unaweza ukaleta mdahalo kama ile ilikuwa ni kadi au hapana,” Bosi huyo wa Barca alinukuliwa na Marca akisema. “Ilikuwa ni adhabu kubwa, ni maamuzi ambayo hatutaki kuyajadili.
“Ilikuwa ni muhimu kuzungumza kuhusu jinsi ya kucheza kwa kujishusha kuliko kuongelea hilo.
“Tumefanya kazi nzuri, matokeo haya yanatualika kusema tupo kwenye uelekeo sahihi.”
Fati ni kama amedhamiria kuchukua kiatu cha dhahabu msimu huu baada ya kufunga goli mbili kwenye mchezo wa kwanza na mchezo wa jana aliweka moja kambani, Barca na Juve wamepangwa katika kundi moja katika droo ilichezeshwa siku ya Jana kwenye mashindano ya Champions League.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


magdalena
wachezaji wa barca kweli wana nidhamu na upendo pia
Ester mmakasa
Hiyo ndio siraha kubwa katika timu ,watafika mbali sana wakiendelea kuwa na nidhamu na upendo pia kama kundi moja.
Fatina
Nidhamu Ni kitu muhimi
Ernest
Bado Barca inahitaji kufanya juhudi zaidi tunaona makosa mengi kwa upande wa ulinzi mwalimu anatakiwa kuangaliza zaidi eneo hili
Elika
Hivyo ndo inavyotakiwa
Sauda
Bila nidhamu hakuna maelewano.
Lydia Emmanuel Magoti
Nikweli wachezaji wa Barca wapo makini na pia nizamu inatendeka kwa wa chezaji hao
Zeiyana
Barcelona ni clabu kubwa swala kama ilo la nizamu ni kitu cha kawaida is to she bado wapo kwenye wakati mgumu wa kujenga kikosi chao kiwe na hubora wa ali ya juu
Caroline
Safi sana.wanajitaidi Sana wamepunguza kucheza rafu
Dorophina
Barca wachezaji wake wananidhamu sana sikuiz wanauchungu wa kuipandisha klabu yao ilipokuwa mara ya kwanza
Mwanahamisi
Safi sana
Mwajumah
Ni dhamu ni kitu muhimu
Adelta
Koeman kazi anayo tena kubwa
Venerose
Nidhamu ni kitu muhimu popote pale
Nasra
Hapo kazi ipo
Tatu
Kazi alioifanya koemani ni kubwa kuiweka timu kwenye nizamu
Janeflora malisa
Vzr sana
Khadija
Jamani nidhamu ndio kitu muhimu
Hopemwaikuka
Wanajielewa sana hao wachezaj
Rehema
Vzur
aisha
Nidhamu ni kitu kizuri kwenye maisha ya mwanadam
Neema
Nidhamu inajenga amani.
Zuhura omary kindamba
Nidhamu ni jambo la busara sana
Sadick
Kwa matokeo haya bado Barcelona ina kikosi kizuri , wanatakiwa kuwa wamoja kwa umoja kuijenga timu ambayo imekuwa inyemelewa na migogoro ya uongozi na wanachama#meridianbettz
Saupha mohamed
Pongezi kwa barca kwa nizam safiii
Juliana Alex
Asante kwataharifa
Shani
Nidhamu ni kit ambacho kinaiweka timu sawa na kuleta umoja kwenye timu na kufanya timu iwe na matokeo mazuri ndan ya uwanja
Povel
Credit kwa wachezaj kucheza punguf na kufanikiwah kutapa matokeo shida natumai mwalimu bado anajukumu la kutengenezah safu nzuri ya ulinzi kutoruhus makosa ya kizembe Kama ya yaliyofanyika katika mechi iliyopitah
lombo
saf
Sabrina
Inapendeza sana wachezaji wakiwa na nidhamu
Angelina
Safi
Amiri Kayera
Nidham kitu muhim mchezon
Latifa juma mohamed
Nawakubali Barca ,vijana wameiva vzr kila idara Safi Sana kwa gud discpline.
Gabriel
Barca inahitaji kufanya juhudi
Samiah
Safi