Droo ya Robo fainali ya kombe la shirikisho la Azam Sports Federation Cup yafanyika leo na timu kubwa zapangiwa timu ndogo ndogo.
Michuano hii ya kombe la shirikisho la Azam limekuwa likitoa vipaji sana huku mshindi wa fainali hii akiwakilisha nchi kwenye kombe la shirikisho Afrika.
Licha ya timu kubwa kuwa zinacheza vizuri, mara nyingi timu ndogo zimekuwa zikitoa changamoto sana.
ROBO FAINALI
Simba vs Dodoma Jiji FC
Rhino Rangers vs Azam FC
Biashara United vs Namungo FC
Mwadui FC vs Yanga
NUSU FAINALI
Rhino Rengers/Azam FC vs Dodoma Jiji FC/Simba
Biashara United/Namungo FC vs Mwadui FC/Yanga
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Habari njema
Mchuano utakuwa wa kibabe
Ni balaa
Michuano mikali
Safi
Kazi ipo hapo
Habari njema
Njia nyeupe Simba fainal