Justin Gaethje Amchakaza Tony Ferguson Kwenye Pambano La UFC

Wakati dunia nzima ikitangaza kusitisha michezo ya aina zote kutokana na janga la korona, UFC wakapitia kipindi cha kuwa ndio watu wa kwanza kuendesha Pambano kubwa la kimataifa lililo fanyika Alfajili ya kuamkia juma pili walilolipo jina la UFC 249 lililo fanyika Jackvile Florida nchini marekani.

Kazi ya kulitangaza na kulifanikisha pambano hilo haikua ndogo kutokana na hali ilivyo kwa sasa na ukingingatia pambano hilo lilitakiwa kufanyika bila mashabiki, ila mwisho wa siku zoezi hilo lilifanikiwa na ni lazima kusema kua lilifanikiwa kwa kiasi kikubwa mno na limekua pambano halitaweza kudahau lika kwa urahisi.

Mpambano huo ulipangwa kufanyika mwezi wa nne tarehe 18 huko Brooklyn, na lilikua na kila kitu ambalo shabiki yoyote angetamani kuona kwenye pambano hilo. Tumeona mpambano mzuri sana ambako bingwa mpya wa uzito wa kati alifanya makubwa ndani ya dakika 25 tu za pambano hilo.

Pambano hilo lilisha kwa Justine Gaethje kumtwanga Ferguson kwa knock out, kitu ambacho Ferguson hakutegemea kwa maana watarajio ya wengi ilikua Justine Gaethje kupigwa tena kwa round za mapema sana au angekutwa na K.O kutoka kwa Ferguson, Badala yake amewaziba midomo watu walio amini angepokea kichappo.

44 Komentara

    safi .sante meridianbet kwa kutupa taarifa nzuri.
    ngumi mchezo wa wazi , ni nzuri kuangalia

    Jibu

    Asante Sana meridian kwa taarifa
    Mchezo wa ngumi mzuri sana

    Jibu

    Meridani kumekucha na taarifa mototo asante meridian

    Jibu

    Justin Yuko vizur Sana Asante Sana meridianbet kwa kutujuza taarifa za michezo

    Jibu

    Apambano mengine awe anaangalia Nina ya kupigana

    Jibu

    Awe anaangaliaga mapambano mengine,asiwe na tamaa ya pesa

    Jibu

    furguson alitamba na kujiamini sana alisahau kama kila mmoja kajiandaa kakipata alichostahili maana Justine najua anachokifanya kwa upande mwingine Justin kupitia meridianbet wamevuna mpunga

    Jibu

    Asante meridian kwa taarifa

    Jibu

    Asante kwa tarifa meridianbet

    Jibu

    Asante meridian kwatarifa

    Jibu

    Wengi waliweka mzigo kwa ferguson haha kakaa

    Jibu

    Asante kwa mlejesho

    Jibu

    Meridianbet siyamchezo mchezo

    Jibu

    Ubashiri wangu ulikua sahihi acha nikachukue mpunga wangu

    Jibu

    Thanks for always giving us a good news

    Jibu

    Nlikuwa npo sahihi

    Jibu

    justin yuko vzur kweny masumbwi

    Jibu

    Duuuh kachakazwa kisawa sawa asante meridianbet kwa taarifa maana wengi hatukuangalia hili pambano

    Jibu

    Vizur meridian kwataarifa

    Jibu

    Great

    Jibu

    Kutokana na janga la corona pia ni vizuri pambano hilo liendelee kufanyika bila mashabiki tu

    Jibu

    Ngumi si za kitoto

    Jibu

    Pambano zur sana kuangaliah Asante meridiana kwa habar Moto moto

    Jibu

    duh co kwa k/o izo

    Jibu

    Lilikuwa bonge la pambano. Asante# meridianbettz

    Jibu

    Welldone Justin Bieber Gaethje

    Jibu

    Justin noma.

    Jibu

    duuh ili pambano sio la kitoto kweli hongereni sana meridianbet

    Jibu

    Kama vipi warudie kuzipiga Tena.

    Jibu

    Mpambano ulikuwa si wa kitoto sio kwa kuchakazwa huko noma sn

    Jibu

    Tony Ferguson hyu naye kila mechi kwake ngumu

    Jibu

    sikufanikiwa kulitazama ila asante kwa taarifa

    Jibu

    Ahsante sana meridian kwa taarifa

    Jibu

    Asanteh kwa taarifa

    Jibu

    Mambano hii lilikuwa noma sn shukurani meridianbet kwa habari mzur sana

    Jibu

    Yan kwa alieangalia pambano tony kapigwa vibaya mnooo

    Jibu

    Hakuna Kama meridianbet Kila kinachoendelea khs ligi mnatujulisha..

    Jibu

    Meridian michezo mingi sanaaaa hongereni

    Jibu

    Mpambono ulikuwa mzuri na wakusisimua anacho takiwa ni kuwa makini katika mpambano ametuangusha mashabiki zake

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridianbet

    Jibu

    Me nilijua tu maana Justin yuko vzur anamapambano meng ya ufc ameshinda

    Jibu

    Asante kwa kutujuza

    Jibu

    Jamaa Ana makonde mazito Sana

    Jibu

    Justin mbabe

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.