Vincent Kompany amestaafu kucheza mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka 34 na ametajwa kuchukua nafasi ya kuwa kocha mkuu wa timu ya Anderlecht.
Mbeligiji huyo alikuwa kocha mchezaji mwezi Mei mwaka 2019 baada ya kuondoka Manchester City lakini ameacha majukumu
Simon Davies alichukua nafasi ya kuwa mkuu wa benchi la ufundi na kisha baadaye akawa masaidizi na Francky Vercauteren alichaguliwa kuwa msaidizi wa tatu, wakati Kompany alibakia kuwa bosi wa kawaida.

Taarifa zinadai Kompany, ambaye amekubali kusaini dili ya miaka minne na klabu hiyo alikuwa hana mahusiano mazuri na Vercauteren na klabu imethibitisha kuondoka kwa Vercauteren.
“Vincent amekuwa kocha mkuu wa RSC Anderlecht” Anderlecht waliandika kwenye ukurusa wao wa Tweeter.
“Amestaafu kucheza mpira na kuchukua mikoba kutoka kwa Franky.”
Kompany alimaliza muda wake City baada ya kuhudumu katika klabu hiyo kwa kipindi cha miaka 11 na kupata mafaniko mbalimbali.
Anderlecht walimaliza katika nafasi ya nane katika msimu 2019-20 na msimu uliisha mapema kufuatia kutokea kwa virusi vya Corona na wamefanikiwa kuchukua alama nne kwenye michezo miwili kwa mssimu huu mpya uliyoanza.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


jullie
good news
Salma ngende
Vizuri
Lydia Emmanuel Magoti
Pongezi kwake mstafu kompany kufanya vizuri nakuelekea kwenye Ukocha inapendeza sana
Furahav
Hongera yake
felister
kila la kheri katika safari yako mpya ya ukocha
Gabriel
Kompany bado mchanga sana anatakiwa atulie ajifunze kocha sio kuendesha baiskeli kuwa ukifunza tu haraka unajua anatakiwa akasome pia akawe msaidizi kwa muda then ndo awe kocha mkubwa sio kitendo cha kustafu tu ajitangazie awe kocha
farida ahmadi
Pongezi Sana company kwa kuwa kocha kila la kheri
Issa
Safi kwa kompany kuichukua anderlchet jumla
Dorophina
Kila lakheri katika safari yake mpya
Ernest
Huyu jamaa ana rekodi nzuri sana kwenye soka, Kila la heri kwenye Maisha yako ya ukocha
Ester jackson
Ameacha soka akiwa na miaka 34 bado anauwezo wa kuchezea timu yoyote ila tunaheshimu mawazo yake
Sadick
Vicent Kompany amefuata watu wa kizazi chake cha akina Lampard,Terry, Thierry,Gerrard n.k kuingia kwenye ukocha#meridianbettz
Magdalena
maamuzi yake ya kuwa kocha yapo sahihi tunastahili kuyaheshimu
Mwajumah
Kila la kheri katika safari yake ya ukocha#Meridianbettz
Fatina mfingi
Hongera yake
Genia Sikaluzwe
Habari njema hiyo
Janeflora malisa
Waooh vzr
Shafii
Kila lakheri kampany na safari yako ndefu ya ukocha.
Povel
Gud news
Hope mwaikuka
Gud to him
Sabrina
Safi sana kompany uwe kocha mzuri sasa
Devotha
Maamuzi yake mazuri
JULIANA
Safi
Johnmary joel
Maamuzi mazuri pumzika #meridianbett
rama
Maoni:mhh ngoja tuone uwezo wake wakufundisha
Nasra
Safii
Flomena
Kompany Yuko vizuri sana
aisha
Jitihada na nidhamu ya hali juu imemfikisha hapo alipo sasa ivi kwahiyo piga kazi broo
Zeiyana
Company bado sana amestaafu na mri mdogo ni vizuri hangeendelea kua hata kocha msaidizi..!kwani wachezaji wengi sana chipukizi wanapambana lakini bado hawana uwezo kama wake ni vizuri angekua kocha ili kuwainua na wengine
Caroline
Ni hatua nzuri
Tatu
Kiwango alichofikia kinafaa kuchezesha
marry
vzr
Tahiya
Hiyo ni nzur
Christa
Safi, hayo ndo maendeleo ya kimpira
Theonestina
Safi
Samiah
Safi
Latifa juma mohamed
Safi
David Pere
Huyu jamaa ana rekodi nzuri sana kwenye soka, Kila la heri kwenye Maisha yako ya ukocha
warda
Kwa kweli iko poa