AHMED ALLY AIBUKA NA KAULI NZITO BAADA YA KIPIGO
SOKA LA BONGO

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally, ameibuka na kutoa neno nzito Kwa Mashabiki Baada ya siku mbili kupita tangu walipofungwa na Yanga 2-1. Ahmed amesema, ni kweli …

Soma zaidi
Simeone Inzaghi Bado Yupo Sana Inter
News

Kocha wa klabu ya Interzionale Milan Simeone Inzaghi bado yupo sana ndani ya klabu hiyo vinara wa ligi kuu ya Italia kutokana na kauli aliyoitoa leo mbele ya waandishi wa …

Soma zaidi
Beki Bayern Leverkusen Bado Dili Sokoni
Bundesliga

Beki wa klabu ya Bayern Leverkusen raia wa kimataifa wa Burkinafaso Edmond Tapsoba ameendelea kua kivutio cha vilabu mbalimbali vikubwa barani ulaya. Beki huyo wa kimataifa wa Burkinafaso inaelezwa maskauti …

Soma zaidi
Bayern Munich Yamfukuzia Ferlan Mendy
Bundesliga

Miamba ya soka kutoka nchini Ujerumani klabu ya Bayern Munich inafukuzia saini ya beki wa kushoto wa klabu ya Real Madrid raia wa kimataifa wa Ufaransa Ferlan Mendy. Bayern Munich …

Soma zaidi
Manchester United Kukipiga Leo na Majeraha Kibao
FA Cup

Klabu ya Manchester United leo itakipiga katika mchezo wa nusu fainali wa kombe la Fa nchini Uingereza huku ikiwa na majeruhi kibao kwenye kikosi chake haswa eneo la ulinzi. Manchester …

Soma zaidi
CHANGALAWE AMPIGA MMISRI ATINGA NUSU FAINALI
Boxing

Nahodha wa kikosi cha Faru Weusi wa Ngorongoro Yusuf Changalawe amefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali baada ya kumchakaza mpinzani wake Abdelgawwad Orabi Salah kutoka Misri kwa points 5-0. Huu …

Soma zaidi
HAWA WAKO KWENYE VITABU VYA KARIAKOO DABI
SOKA LA BONGO

NGOMA inatarajiwa kupigwa Uwanja wa Mkapa, Aprili 20 2024 kwenye Kariakoo Dabi ambapo kila timu itakuwa kazini kusaka pointi tatu ndani ya uwanja. Ikumbukwe kwamba kwenye mzunguko wa kwanza mchezo …

Soma zaidi
ARAJIGA APEWE KARIAKOO DABI TENA
SOKA LA BONGO

Bodi ya Ligi Kuu nchini imemtangaza mwamuzi wa kimataifa, Ahmed Arajiga kuwa ndiye atazisimamia sheria 17 za soka katika mchezo wa NBC Premier League kati ya Yanga SC dhidi ya …

Soma zaidi
Sterling na Enzo Wako Tayari Kuivaa Man City
Daily News

Wachezaji wawili wa klabu ya Chelsea ambao walikua majeruhi Raheem Sterling na Enzo Fernandez wameripotiwa kurejea mazoezini kuelekea mchezo wao wa nusu fainali wa kombe la Fa dhidi ya Man …

Soma zaidi
Ten Hag Ampongeza Sancho
Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag amempongeza mchezaji wake Jadon Sancho ambaye anakipiga kwenye klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani kwa mkopo. Kocha Ten Hag amempongeza Sancho …

Soma zaidi
1 2 3 4 5 6 2,040 2,041 2,042