Kiungo wa klabu ya Yanga na timu ya taifa ya Tanzania Feisal Salum amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kuwaombea dua kuelekea mchezo wao wa marudiano dhidi ya Club Africain ya Nchini Tunisia, Utakaopigwa siku ya Jumatano nchini humo.

Mchezo huo wa marudiano utaopigwa siku ya Jumatano nchini Tunisia ambapo mchezo wa awali ulimalizika kwa sare tasa kwenye dimba la Benjamin Mkapa jumatano iliyopit, Hivo kufanya kila timu kua na nafasi ya kufuzu hatua inayofuata.feisalKiungo Feisal salum amesema anajua ni kwa namna gani mashabiki wa timu hiyo wana shauku kuona timu yao inafanya vizuri  na kuingia hatua ya makundi, Lakini akiwataka mashabiki wa timu hiyo kuwaombea na kwani wao kama wachezaji wako tayari kupambana kuhakikisha mashabiki wao wanafurahi.

Klabu ya Yanga wanahitaji kufuzu hatua ya makundi kwenye kombe la shirikisho baada ya kushindwa kufuzu hatua hiyo kwenye ligi ya mabingwa Afrika baaada ya kutolewa na Al-Hilal ya Sudani.feisalPresha imekua kubwa sana kwa mashabiki wa klabu hiyo ambao Feisal anaamini wao kama wachezaji wamejipanga vyema kufanya vizuri katika mchezo huo wanachohitaji ni dua tu kwa mashabiki hao.

AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa