Feisal Nje dhidi ya Mbeya City

Kiungo wa klabu ya Yanga na timu ya taifa ya Tanzania Feisal Salum Toto atakosekana katika mchezo wa kesho dhidi ya klabu ya Mbeya city kutoka mkoani Mbeya.

Kiungo atakosekana katika mchezo huo kutokana na kupata kadi tatu za njano jambo ambalo kikanuni linamfanya kukosa mchezo huo utakaopigwa katika dimba la Benjamin Wiliam Mkapa siku ya kesho.feisalKiungo Feisal ni miongoni mwa wachezaji tegemezi wa klabu ya Yanga kwasasa kwani namba zake zinaonesha namna alivyo na umuhimu katika timu hiyo kwani mpaka sasa ameshaweka mabao manne kimiani kwenye ligi kuu.

Kiungo huyo fundi atakosekana kwenye mchezo huo lakini taarifa njema kwa mashabiki wa klabu hiyo ni kurejea kwa kiungo mwingine mwenye ubora klabuni hapo Aziz Ki ambaye alikua mapumzikoni nchini kwao Burkina Faso.feisalVilevile kocha msaidizi wa klabu hiyo Cedric Kaze ameongea kuelekea mchezo dhidi ya Mbeya City na kueleza wanaenda kucheza mchezo kutafuta alama tatu lakini akionya hawachezi ili kulinda rekodi yao kutokufungwa.

Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

BONYEZA HAPA KUCHEZA

Makala iliyopita
Makala ijayo

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.