BAADA ya sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa jana kati ya Simba SC na Azam FC kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Mashabiki wa Simba SC wameutupia lawama uongozi wa timu yao kwa kuwa na makundi ndani hali inayopelekea timu hiyo kushindwa kupata matokeo mazuri ndani ya uwanja. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Baadhi ya mashabiki walihojiwa na Meridian Sports kuhusaiana na mwenendo wa timu yao walikuwa na haya ya kusema. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
“Kosa la kwanza ni kuleta kocha ndani katikati ya msimu, timu wangemuachia Mgunda ingekuwa vizuri tu, kitu cha pili ni Uongozi wetu uache siasa wasajili wachezaji wazuri wenzetu Yanga wana wachezaji wazuri”- Shabiki wa Simba
Kwa upande mwingine mashabiki hao walikosoa baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo kuwa hawafai kuichezea Simba SC akiwemo Nahodha wao John Bocco, kwa kigezo cha kwamba umri na kiwango kushuka. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
“Tunamheshimu sana John Bocco katupa mafainikio mengi kwa muda wake, lakini ifikie hatua astaafu kwa amani mashabiki tuje tumuage tofauti na sasa kiwango chake kwakweli kimeshuka”- Majid Shabiki wa Simba
Katika michezo mitatu iliyopita ikiwemo wa jana Simba haijafanikiwa kushinda mechi hata moja, ikiwa imefunga bao moja tu na kufungwa mabao 5 kitu ambacho sio cha kawaida kwa klabu hiyo.
Hii inatia wasiwasi kwa klabu hiyo kwenye michezo ya kimataifa ambapo wanahitaji kushinda michezo mitatu ili kuwa na nafasi ya kufuzu kwenye hatua ya robo fainali. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.