Mchezaji wa klabu ya Barcelona Gerard Pique ameshtumiwa kula rushwa ili kufanikisha zoezi la fainali ya Spanish Super Cup kuhamishiwa kutoka nchini Hispania na kwenda kuchezwa kwenye nchi ya Saudi Arabia.

Gerard Pique anatuhumiwa kumsaidia dalali kuweza kufanikisha mpango huo na kukubalika na chama cha mpira nchini Hispania, na kumshawishi raisi wa shirikisho la mpira nchini humo, Luis Rubiales kuweza kuhamisha mashindano hayo kwenda mashariki ya kati.

Gerard Pique, Gerard Pique Apata Kashfa ya Rushwa, Meridianbet

Kulingana na mtandao wa The Telegraph, na gazeti la El Confidencial, zinakishutumu chama cha mpira kuingiza vipengere viwili kwenye mkataba na mamlaka ya saudia ili kuhakikisha kampuni ya Gerard Pique Kosmos, ambayo  ilianzishwa mwaka 2018, kupokea malipo ya  €4milion kila mwaka ambapo mashindao yatafanyika nchini saudi  ndani ya miaka sita atapokea €24milioni.

Kulingaba ba taarifa za  RFEF watapokea kiasi cha €40milion kwa kila mashindano yatakayochezwa kwenye kwenye hiyo nchi. El Confidencial wanadai kuwa wanaushaidi wa sauti na dokomenti zinazohusisha makabuliano  na shutuma ambazo Rubiales akijaribu kumficha Gerard Pique kwenye ushiriki.

Kwenye moja ya sauti ambazo zilirekodiwa, Gerard Pique akimjibu Rubiales, na kutoa mapendekezao kuwa klabu ya Real Madrid wasingekubali kucheza nje ya nchi kwa pesa isiyopungua €8milioni.

“kama kuhusu Real Madrid watakwenda kwa €8m euros, kisha wanalipwa €8m euros na Barcelona wanalipwa €8milion euros pia, halafu wengine wanalipwa €2milion na €1milion.

“Hiyo inakuwa €19milion na wewe, shirikisho linabaki na €6milioni. Tunaweza hata kuwaambia Saudi Arabia waongeze zaidi, kwa kusema kuwa klabu ya Real Madrid haitaweza kuja, ni hivyo tu.

“Kuliko kuchezea Hispania ambapo hutaweza kupata hata €3milioni, fikilia kuhusu hili.” Alisikika Gerard Pique akiongea.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa