Liverpool wametangaza kwamba mkataba wa beki wa kimataifa wa England Nathaniel Clyne na klabu hiyo hautoongezwa upya. “Kila mtu angependa kumshukuru Nathaniel kwa huduma yake na kumtakia kila la kheri katika kazi yake ya baadaye,” Liverpool ilisema katika taarifa.

Beki huyo kulia, ambaye kaitumikia England mara 14, ataondoka katika klabu hiyo ya Anfield baada ya kumalizika kwa mkataba wake wa sasa Juni 30, akiwa hajacheza mechi hata moja msimu huu… ndio mwisho wa miaka mitano, ambayo amecheza mechi 103, ingawa mechi 10 kacheza katika misimu mitatu iliyopita iliyokuwa na majeraha kwake.
Clyne alijiunga na Liverpool mnamo Julai 2015 kwa ada ya pauni milioni 12.5 kutoka Southampton, akisaini mkataba wa miaka mitano na The Reds na mwanzoni alikuwa vizuri kwani alicheza mara 52 kwenye msimu wake wa kwanza,.


Magdalena
Kila LA kheri uko aendako na pia ahsante kwa ushirikiano wake apo Liverpool
Hamidu
Habari mbaya kwa mashabiki wake! Ila uwezo unao nenda katafute changamoto nyingine#meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana kirakheri andapo kwenyesafali yake ahiyanzayo Tena kwenye upambanaji
Njiku
Kinacho wakosti wachezaji wengi ni majereha ya mara kwa mara na kuwatoa katika pafomansi yao Clyne alijiunga na Liverpool 2015 mpka 2020 kwa mkataba ya miaka 5 sio poa lakini kisha baraa alikuwa fiti mchizi alikuwa anapandisha mashambulizi baraa ila sio mbaya kama Liverpool wanamtema atapata timu nzuri tu sina wasi kwa uwezo wake
Fatuma kasomo
Asante kwa taarifa meridianbet
Issa
Amepewa nafasi kashindwa kuitendea
Genia Sikaluzwe
Kila lenyemwazo huwa Lina mwisho kirakrheri ahsant kwa ushilikiano wako hapo Liverpool
Furahav
Nenda tu kajalibu sehemu nyingine,Mana maisha popote.
isha
Kila la kheri kaka huko uendapo pia tunakutakia kazi nyema
felister
kila la kheri
lombo
habar njema
Hope mwaikuka
Safari njema
Ester jackson
Ametumikia vyakutosha mpaka Liverpool sasa wanachukua ubigwa ni ushirikiano wakweli na kwa kila timu hasaivi huwa wachezaji wengi wanaonekana viwango vyao viko chini kwa sabababu ya majeraha ukizingatia tukapatwa na janga la corana watu wakapumzika bila mzoezi yakutosha hivyo wanaonekana wako chini ya kiwango na kupelekea kuuzwa kwenye mechi nyingine ila clyen yuko vizuri .
Khadija
Safari njema#meridianbettz
Gabriel
Liverpool itabid wamtafute mbadala wa Nathaniel clyne maana kwa wapenz wa soka tunatambua uwezo wa beki huyu kuwa alikuwa n muhimil hivyo kutomuongezea mkataba imekuwa na pengo kubwa sana
Have a great update 👍
#meridianbettz
Caroline
Jmn kweli ana bahati mbaya
Ernest
Cylne kweli alifanya kazi kubwa sana miaka kadhaa kwenye kusaka ubingwa lakini hawakuwa na Bahati
Devotha
Pole sana! Kila la heri uko uwendako
Frank Patrick
YNWA kop go and do something there you go
Dorophina
Maisha popote atafanikiwa kwingine
Saupha mohamed
Ameifanyia vyema Liverpool… Safari njema
Mwanaidi
Anauwezo mkibwa ila hizo ni changamoto tuu
Sadick
Bado umri unaruhusu kupata changamoto mahali pengine#meridianbettz
warda
Jamani Wamemuona Kama Mzigo#Meridianbettz
Omary lukumbi
Kila la kheri Liverpool wanataka kuendelea na moto wao mpk msimu ujao
Sabrina
Maoni:kila la kheri brooh umewatumikia vya kutishaaa
neema hassan
Kiwango kimeshuka ndo Mana wameshndwa kumsajili
Shafii
Bahati popote ila kila kitu kinatokea kwa sabubu asikate tamaaa
David Pere
Hata Kama hawatamuongezea mkataba lakini medali ya EPL ameivaa
mwakalosi
dah sad moment kwake ila kavaa medali ambayo Steven aliisumbukia katika kipindi chote
Evaluziga
Amepewa nafasi ameshindwa kuitumia
Elika
Kila la kheri kwake na huko aendako
Mariam mtandama
Kila la heri
Zeiyana
Habari mbaya kwa mashabiki wa Liverpool..!
Povel
Gud update
Angelina
Kila kheri
Amiri Kayera
Mda wa kuchambua mchele na pumba
Salma
Nenda kajaribu ili mladi kuwa na maslahi nako
Tatu
Kila la kheri Liverpool