Mtoto wa Nyota wa mpira ulimwenguni, Cristiano Jr atamani kuja kucheza na baba yake siku moja.

Cristiano Jr

Cristiano Ronaldo mwenyewe amethibitisha hilo
“Baba endelea kucheza kwa miaka michache ijayo,nataka kuja kucheza na wewe siku moja najua ni ngumu ila nitafanikisha” – Cristiano Ronaldo

Cristiano Jr

Ronaldo amesema mara nyingi mwanae huyo (Cristiano Jr) humsisitiza kutofikiria kuacha mpira mpaka ndoto yake hio itakapotimia.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa