Fofana Atambulishwa Chelsea

Klabu ya Chelsea imemtambulisha mchezaji wao mpya Wesley Fofana ambaye amaejiunga na Klabu hiyo akitokea Leicester City.
Fofana Atambulishwa Chelsea
Beki mpya wa Chelsea-Wesley

Beki huyo kitasa amejiunga na Chelsea kwa mkataba wa miaka sita (6), ambapo anaenda kuongeza nguvu kwenye kikosi cha Thomas Tuchel ambacho kimekuwa kinaupungufu kwenye baadhi ya maeneo ikiwemo eneo la ulinzi, baada ya Chelsea kumuuza beki wao kitasa Rudger kwenda Real Madrid.

Chelsea na Leicester zilifikia makubaliano ya paundi 70M kama ada ya uhamisho ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa.

Klabu ya Chelesea tangu kuanza kwa msimu huu 2022/2023 wamecheza mechi 5, kashinda mechi 2 na kutoa sare 1, na kafungwa mechi mbili zote za ugenini.

Fofana Atambulishwa Chelsea

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.