Benjamin Pavard Akutwa na Maambukizi ya Uviko-19

Klabu ya Bayern Munich imetoa taarifa kuwa mlinzi wao Benjamin Pavard amefanyiwa vipimo na kukutwa na maambukizi ya Uviko-19

Hii ni habari ya pili mbaya kwa klabu ya Bayern Munich baada ya klabu hiyo kumpoteza Niklas Süle kutokana na maheruhi ya misuri mapema leo, pia Benjamin Pavard asubui alifanya mazoezi ya pamoja na timu.

Benjamin Pavard 25 amepima na kukutwa na maambukizi ya uviko-19 leo alhamisi, na alikuwa amepata chanjo zote, pia siku ya leo mapema asubui alifanya mazoezi ya pamoja na timu, atakosa mchezo wa jumamosi dhidi ya Union Berlin

Kocha wa Bayern Munich Nagelsmann anaamini kuwa Benjamin Pavard hajawambukizi wachezaji wengine, ila kwa sasa atakuwa na tatizo la ulinzi na itabidi abadili mfumo na kuwatumia walinzi watatu.


SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI

Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.

liverpool, Liverpool Kila Mtu Ashinde Mechi Zake., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe