Ligi za FIFA Zinavyo Kata Kiu ya Wapenda Soka

Kutokana na janga la Korona wafuatiliaji wa soka duniani kote wapo katika sinto fahamu ya kuto kujua ni kwa namna gani wanaweza kuendelea kupata burudani ya soka kwa kufatilia michezo hiyo. Wakati dunia ya wanamichezo ikiwa imetanda kwenye kiza, wanaibuka FIFA na program yao ya FIFA20 Eleagues  ambayo ni michezo inayochezeshwa ki elekroniki au (Computer) itakayo husisha timu 128 katika michezo hiyo, Wakati wengi wetu tukijikinga kwa kubaki  nyumbani na kufanya mambo mengine, wafuatiliaji wa Soka hawana  mbadara wa starehe wanayo ipenda ya kufatilia michezo.

fifa

Korona imezuia michezo mingi ya ligi kubwa duniani kuendelea  na  zuio hilo linataka timu hizo kuto shiriki michezo mpaka mwisho wa mwezi  Aprili. Inaweza kua ni mwezi mmoja tu lakini hii inapelekea vilabu vingi kupitia hali mbaya ya kiuchumi, Na kwa mujibu wa changamoto hiyo michezo ya fifa ndio itatumika kuingiza fedha kwa vilabu hivyo.

Nchi 16 zitashiriki kuhusisha timu zake za ligi kuu kwenye mashindano hayo ikiwemo Italia, Ufalanza, Uholanzi, na nchi nyingine duniani huku timu kubwa kama Manchester City,Westham, na Newcastle timu zao zikiwakilishwa na mchezaji mmoja ingawa Manchester City wana mikababa ya Awali inayoweza kuwaruhusu kutumia wachezaji wao wote.

Mbio hizi zitahusisha mechi zote pamoja na Odds za kubetia, ambapo kwa wapenzi wa soka wa Tanzania na duniani kote wanaweza kubashiri mechi hizi kupitia mtandao wa Meridianbet Tanzania kwa kubofya link HII https://meridianbet.co.tz/en/betting/football/electronic-leagues

Kikubwa na  Cha kufurahisha zaidi Northhammpton watacheza dhidi ya Forest Green ambapo kwa mujibu wa ratiba ilitakiwa wacheze juma moja tuu kabla ya michezo kuahirishwa.

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.