Klabu ya Barcelona ina mpango wa kuanzisha pesa yake yenyewe ya kidijitali ambayo itakuwa sarafu ya kipekee kulingana na maelezo ya rais wa klabu hiyo Joan Laporta.

Joan Laporta alichukuwa mikoba ya kuingoza klabu hiyo kutoka Josep Maria Bartomeu na kuibia matatizo mengi ya kifesha ambayo klabu hiyo ilifanya chini ya Josep Maria Bartomeu, na sasa Laporta anatafuta njia mpya za kuongeza mapato kwenye klabu hiyo.

Barcelona

Akizungumza kwenye Mobile World Congress jijini Barcelona Laporta alielezea mipango yao na akisistiza kuwa ni muhimu kwa wao kuwa wavumbuzi, “tuko kwenye mpango wa kumiliki metaverse yetu, mdio maana tumekataa nafasi ya kujiunga na kampuni nyingine za kidijitali zinazomiliki pesa hizo.

“Tunataka tutengeneze pesa yetu ya kidijitali wenyewe na ndio maana tunafanya wenyewe, sisi ni tofauti kwa sababu tunasimama kiuchumi kwa kutengeneza mapato kupitia tasnia ya michezo.

“Hatuna makampuni makubwa au wanahisa ambao wako nyuma yetu, hiyo nguvu ndio inayotufanya tuwe wabunifu, wagunduzi imara na kupiga hatua mbele kwenye maeneo tofauti yanayotuzunguka kwenye tasnia ya michezo.”

Klabu ya Barcelona imekopa kiasi cha €1billion mara tu Laporta kuchukua hatamu ya kuingoza klabu hiyo ili kuweza kunusuru klabu, huku wakiuza baadhi ya wachezaji ili kupunguza mzigo wa mishahara mikubwa.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa