Thomas Tuchel hakupenda kuulizwa maswali yanayohusiana na vita inayoendelea Ukraine wakati wa mkutano wake wa hivi punde na waandishi wa habari baada ya kuulizwa kama mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich anaweza kuwa msaada kwenye mzozo unaoendelea.

‘Mimi si mwanasiasa,” Tuchel alisema. “Sijawahi kukumbana na vita. Kwa hiyo hata kuliongelea hilo najisikia vibaya, maana nina bahati sana, nakaa hapa kwa amani. “Najitahidi kadri niwezavyo kwani lazima uache kuniuliza maswali haya kwa sababu sina majibu kwako.”

Tuchel, ambaye yuko katika harakati za kujipanga na wachezaji wake kufuatia kushindwa kubeba Kombe la Carabao dhidi ya Liverpool, alikabiliana na maswali ya wanahabari Jumanne kabla ya mchezo wao ujao dhidi ya Luton Town katika raundi ya tano ya Kombe la FA.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa