Thoms Tuchel Amemsamehe Lukaku?

Bosi wa Chelsea tayari ameamua kumrejesha nyota wake Romelu Lukaku kwenye kikosi kuelekea mechi dhidi ya Spurs wiki hii.

Nyota huyu aligonga vichwa vya habari baada ya kuyatoa ya moyoni kupitia Sky Sport Italia kuwa hakuwa na furaha pale Chelsea, anatazamia kurejea Serie A. Maneno ambayo hayakuwafurahisha uongozi na mashabiki wa Chelsea.

Kwa sababu hiyo alitemwa nje ya kikosi kilichocheza mechi dhidi ya Liverpool kupisha mchakato wa mazungumzo na kufanya maamuzi ya hatua stahiki baada ya tukio hilo.

Tuchel Kumrejesha kikosini kuna maanisha amesamehewa?

Kuelekea mechi ya Kombe la Ligi dhidi ya Tottenham Hotspur, Tuchel amethibitisha kuwa Lukaku ameomba msamaha, kuwa hakuwa amedhamiria kufanya hivyo, na amesamehewa.

Tulilipa muda uliohitaji suala hili kutulia, hivyo ndivyo tulivyofanya. Aliomba msamaha na amerejea mazoezini leo. Kwangu ilikuwa muhimu kufahamu kama alifanya kwa makusudi. Hakufanya hivi makusudi kuleta kelele kama hizi wakati tunaelekea kwenye mechi kubwa.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe