Liverpool Wasitisha Mazoezi Kuelekea Mchezo Dhidi ya Arsenal

Klabu ya Liverpool leo imesitisha mazoezi ambayo yalipangwa kufanyika leo kutokana na kuongezeka kwa visa vya Uviko-19 kuelekea mchezo wa nusu fainali ya Carabao Cup

Mchezo wa Carabao Cup wa nusu fainali kati ya Liverpool na Arsenal upo kwenye hatari ya kuweza kuahirishwa kutokana kuongezeka visa vya Uviko-19 katika upande wa klabu ya Liverpool.

Liverpool

 

Inaeleweka kuwa majogoo wa Anfield walikuwa waanze mazoezi leo jioni, lakini yamehairisha huku mchezo wao ukiwa umepangwa kuchezwa siku ya tarehe ya 6/1/2022 alhamisi, mpaka muda huu hakuna taarifa yeyote ya kuahirishwa kwa mchezo huo japo klabu ya Liverpool wapo kwenye mazungumzo na EFL.

Ikiwa timu zote zitakuwa na wachezaji 14 wakiwemo makipa wawili, basi mchezo utaendelea kama kawaida, awali Majogoo iliwakosa wachezaji wake tisa wa kikosi cha kwanza kwenye mchezo dhidi ya Chelsea, huku pia wakiwapoteza wchezaji wake mahiri Mohamed Salah, Sadio Mane na Naby Keita ambao wamerudi Afrika kucheza AFCON.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.