Timu ya taifa ya Brazil itaanza kampeni yake ya kulisaka taji la sita la kombe la dunia nchini Qatar dhidi ys timu ya taifa ya Serbia mchezo utakaopigwa saa nne usiku ukiwa unafunga siku.

Timu ya Taifa ya Brazil ni miongoni mwa timu zinazope3wa nafasi kubwa kubeba taji la kombe la dunia kutokana na ubora wa kikosi chake ambao umejumuisha wachezaji wengi wenye ubora mkubwa na wenye uwezo wa kuamua mchezo muda wowote.brazilKikosi hicho cha mwalimu Tite kitamenyana na timu ya taifa ya Serbia ambayo pia inajumuisha wachezaji nyota kama Alexander Mitrovic,Dusan Vlahovic, pamoja na kiungo fundi kutoka klabu ya Lazio Milinkovic Savic. Hivo mchezo unatarajiwa kua mgumu na wakuvutia kwelikweli.

Baada ya miaka takribani 20 ambayo timu hiyo imekosa taji  la kombe la dunia leo wanaianza safari ya matumaini ili kuweza kurejesha utawala wao kwenye michuano hiyo kwani timu hiyo ndio inayongoza kwa kutwaa taji hilo licha ya kukaa muda mrefu bila kubeba ubingwa wa kombe la dunia.brazilAkizungumza na waandishi wa habari nahodha wa timu ya taifa ya Brazil Thiago Silva kuelekea mchezo wao wa leo amesema wamejipanga vyema na kila mchezaji anajua majukumu yake hivo anaamini wataenda kufanya vizuri haswa katika mchezo wao wa ufunguzi.

machaguo spesho

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa