Matteo Gabbia amekubali kuongeza mkataba na klabu ya Ac Milan mpaka mwaka 2026, ijapokuwa bado ana mkataba na klabu hiyo mpaka mwaka 2024.
Mlinzi huyo mwenye miaka 22 wa kiitaliano hivi karibuni amekuwa akimvutia kocha Stefano Pioli baada ya kumuanzisha kwenye mechi tatu za mwisho na aliweza kuonyesha kiwango cha hali ya juu.
Klabu ya Cagliari hivi karibuni wamekuwa wakitaka kumsajiri Gabbia kwa mkopo msimu huu, lakini klabu ya Ac Milan watakubali uhamisho huo ikiwa wataweza kumsajiri mlinzi mpya kwenye dilisha hili.
Klabu ya Ac milan pia ina mpango wa kumpatia mpya Pierre Kalulu na wameshaanza mazungumzo na wasimamizi wake ili kuweza kungeza mkataba mpaka mwaka 2026.
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.
CHEZA HAPA