Mshambuliaji wa AC Milan Zlatan Ibrahimovic amemshauri Kylian Mbappe kama akitaka kuondoka PSG ahamie klabu ya Real Madrid.
Hatima ya Kylian Mbappe itakuwa mjadala mkubwa kabla ya dirisha la usajili la majira ya kiangazi, huku fowadi huyo wa Paris Saint-Germain akitarajiwa kusepa bure, na Zlatan Ibrahimovic amemshauri atimkie Real Madrid.
Sio siri kwa Mbappe, mchezaji huyo amekuwa akitaka kuiwakilisha Los Blancos, lakini PSG watakuwa wamefanya kituko kama watapoteza nyota wao bure.
“Ni Kylian pekee ndiye anayeweza kujibu swali hili, inategemea kile anachotaka na anachofikiria,” Zlatan aliiambia L’Equipe alipoulizwa kuhusu hatima ya Mbappe.
“Ni kweli siku moja aliniuliza na nikamjibu, ‘Kama ningekuwa wewe, ningeenda Real Madrid.
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.
CHEZA HAPA