PSG: Messi Kurejea Kikosini Kuwavaa Reims

Kocha mkuu wa PSG Mauricio Pochettino amethibitisha kwamba Lionel Messi atarejea kuichezea Paris Saint-Germain siku ya Jumapili timu hiyo itakavyo kabiliana na Remis.

PSG: Messi Kurejea Kikosini Kuwavaa Reims

Nyota huyo wa zamani wa Barcelona alikutwa na maambukizi ya COVID-19 wakati wa mapumziko ya siku kuu na alipo poana alilazimika kufanya mazoezi binafsi kwa takribani mwezi mmoja.

Messi ni kama hataanza kwenye mtanange wa leo na anaweza kucheza kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mwaka 2022 na tayari amekosa michezo mitatu kwa kipindi hicho wakati PSG wameongeza pengo la kuongoza ligi kwa tofauti ya alama 11 mbele ya Nice.

“Lionel alifanya mazoezi vizuri wakati wa wiki,” Pochettino alisema. “Tumeridhika na kufurahishwa na maendeleo yake na atakuwa na timu.

“Siku zote ni habari njema kwamba wachezaji ambao wamekuwa hawashiriki, au hawashiriki katika timu, tayari wanaweza kupatikana kucheza na kusaidia timu kidogo kidogo.”


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe