George Kambosos Jnr Bingwa: WBA, IBF na WBO uzito wa lightweight

George Kambosos Jnr alimshinda Teofimo Lopez na kuwa bingwa mpya wa ulimwengu wa uzani mwepesi (Lightweight).

George Kambosos Jnr emapata ushindi dhidi ya Teofimo Lopez kwa uamuzi wa marefa na kuwa bingwa mpya wa WBA, IBF na WBO uzito wa lightweight huku wapiganaji wote wawili wakifanya vyema kwenye pambano kali mjini New York.

George Kambosos Jnr alimuelemea Teofimo Lopez kwa mashambulizi makali. Mwaustralia alimwacha Lopez katika raundi ya ufunguzi tu na kisha akaangushwa katika raundi ya 10, lakini mashambuli yake yaliyodumu yalimzawadia ushindi mnono kwa alama 115-112 na 115-111, huku jaji wa tatu akifunga kwa alama 114-113 kwa mpiganaji wa Brooklyn.

George Kambosos Jnr Bingwa: WBA, IBF na WBO uzito wa lightweight
George Kambosos Jnr Vs Teofimo Lopez

Lopez alijitahidi kumzuia Kambosos Jnr aliyeonekana kuwa na dhamira kubwa ya ushindi, alikuwa akirudi nyma kwa mara katika harakati za kuzuia makonde yaliyokuwa yanafyatulia wakati wakibadilishana makonde katika raundi za mapema.

Hata hivyo, haikuwa siku nzuri kwa Lopez, na akapoteza kwa pointi za majaji. George Kambosos Jnr ndiye anayetamba  kama bingwa mpya WBA, IBF na WBO uzito wa lightweight.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe