Ronaldo Kustaafu na Ballon d'Or Nyingi Zaidi ya Messi

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Portugal Cristiano Ronaldo shauku yake kubwa ni kuwa na tuzo nyingi za Ballon d’Or kudhidi mpinzani wake Lionel Messi kabla hajatangaza kutaka kustaafu.

Igawa Ronaldo ameshiriki kama mshindani mara 17 kwenye tuzo za Ballon d’Or lakini ameweza kuchukua mara tano tu, huku mpinzani wake akichukua mara sita ni tuzo moja tu zaidi yake.

Shauku kubwa ya Ronaldo ni kustaafu akiwa na tuzo nyingi za Ballon d’Or zaidi ya messi na najua kwa sababu aliniambia mimi, alisema kiongozi wa Ballon d’Or  Ferre

messi anashikilia rekodi ya kushinda tuzo nyingi zaidi za Ballon d’Or huku akiwa ameweza pia kuchukua tuzo hizo mara nne mfululizo kuanzia mwaka 2009 hadi 2012 na pia tuzo yake ya mwisho alichukua mwaka 2019.

Kesho jumatatu 29 novemba mshindi wa Ballon d’Or  anatarajiwa kutangwa baada ya mwaka 2020 tuzo hizo kuahirishwa na kutptangazwa kwa mshindi yeyote, huku wachezaji wanaopewa nafasi kubwa ya kuchukua tuzo hiyo ni Robert Lewandowski na Lionel Messi.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.