Antonio Conte alipaswa kuonana na raisi wa Inter, Steven Zhang siku ya jana, lakini kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na Skysport mkutano huu haujafanyika na utafanyika siku zijazo.
Inter wamefanikiwa kushinda taji la Serie A wakliwa na Conte baada ya miaka 11 ya kulisaka taji hilo.
Mkataba wa kocha huyu Muitaliano unafika tamati mwaka 2022, lakini kwa mujibu wa vyanzo tofauti nchini Italia, anaweza kuondoka klabuni hapo akiwa amesalia na mwaka mmoja kwenye mkataba wake ikiwa wamiliki hawatamuhakikishia hatma ya mda mrefu.
Steven Zhang na wakurugenzi wa Inter waliwasili makao makuu ya klabu hiyo, na walitarajiwa kuwa na mkutano kati yande zote jana, lakini haikuwa hivyo. Mkutano unatarajiwa kufanyika tena kwa siku kadhaa zijazo.
Conte anataka kusalia na Inter, lakini ana imani kubwa kwa wachezaji wake wakubwa na hadhani kama wanatakiwa kuondoka.
Kutokana na suala hilo, hatma ya Conte inategemea mipango ya wanafamilia wa Suning. Wakurugenzi wa klabu pia wanatarajia kujadili hatma yao na wamiliki wa klabu hiyo.
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.
Pole yao