Kante Arejea kwa Masharti

N’Golo Kante amerejea mazoezini Chelsea na ameruhusiwa kufanya mazoezi peke yake kwa hofu ya Corona.

Kiungo wa Ufaransa, 29, hakuhudhuria mazoezi ya klabu ya mwanzo mmano Mei 19 lakini aliamua kufanya mazoezi nyumbani, maamuzi hayu yaliungwa mkono na Chelsea.

kante kwasasa amejiunga na mazoezi binafsi kwenye uwanja wa mazoezi wa klabu wa Cobham.

Kante aliwahi kuzua taharuki miongoni mwa wachezaji wenzake mwak 2018 baada ya kuzimia wakati wa mazoezi. Kaka yake alifariki kwa mshtuko wa moyo mwaka huohuo.

Vilabu vya Premier League vimeanza hatua ya pili ya mazoezi, ambayo inaruhusu kugusana. Na Alhamisi Premier League imesema inaweza kurejesha mechi zake Juni 17.

49 Komentara

  Inapendeza Sana Kanye kurejea mazoezini

  Jibu

  Karibu dimbani #meridianbettz

  Jibu

  Habari nzuri kwa mashabiki wa Chelsea
  Kiungo mkata umeme amerudi.# meridianbettz

  Jibu

  Daaah hamjawai kutuficha kitu jamani

  Jibu

  Ni habari njema kwa mashabiki wa mpira

  Jibu

  Corona iishe tu

  Jibu

  kama familia inahistoria hiyo basi kwa hali ya sasa inamfaa kufanya mazoezi kwa kiwangu kisichozidi

  Jibu

  Safi sana kwa uongozi wake kwa kumkubalia aanze mazoezi peke ake.

  Jibu

  Karibu

  Jibu

  Habari nzuri kwa mashabiki#meridianbettz

  Jibu

  Kweli corona ni janga ladunia.maana sisi kwa sisi tunaogopana

  Jibu

  Woyoooooo tar. 17 si mbali #Meridianbettz

  Jibu

  Sio mbaya

  Jibu

  Namkubali Sana ngolo

  Jibu

  duuuh

  Jibu

  Good news 👍

  Jibu

  Ni habari nzuri kwa mashabiki

  Jibu

  Ni vizuri asikurupuke kufanya mazozi

  Jibu

  Nihabari njema kwa mashabiki

  Jibu

  Ngolo mkata umeme kashatia timuuuuuuuuuu!!!!!!

  Jibu

  ni vema kwa usalama wa wengine

  Jibu

  Hatukuyajua hayo mko vzr kwa taarifa

  Jibu

  Safi sana hata kama ni kwa mashart lkn amerudi

  Jibu

  Nawapenda iki tu meridian

  Jibu

  Ngolo kante Yuko vizur sana..me namkubali

  Jibu

  Kiungo mkata shombo ngolo kante

  Jibu

  Namkubali Sana kante

  Jibu

  Kiungo mwenye viwango vyake ameridi

  Jibu

  Duuuh! Anastahil kufanya hvyo uwez jua matatizo ya mtu

  Jibu

  Karibu dimbani Asantee meridian

  Jibu

  Ngolo Yuko vizuri sn

  Jibu

  Namkubali Sana ngolo

  Jibu

  Ngolo yupo vizuri

  Jibu

  good news

  Jibu

  Ni habari nzuri kwa mashabiki

  Jibu

  Ngolo anaelekea kuishinda hofu#meridianbettz

  Jibu

  😀😀😀😀😀😀😀ngolo kante hatarii sana karibu

  Jibu

  Yupo vizuri anajua anachokifanya

  Jibu

  ni habari njema kwa chelsea na matumain kuwa anaweza kuwepo kikosin

  Jibu

  Bora arejee ligi iyanze

  Jibu

  Bora arudi kiungo mkabaji.

  Jibu

  Safi sana hata kwa mashart ila amerud

  Jibu

  Inapendeza Sana Kanye kurejea

  Jibu

  Pole sana ila kila kitu kutakua sawa na utafanya mazoezi pamoja na wenzako

  Jibu

  Habari njema kwa wana Chelsea

  Jibu

  Sio mbaya

  Jibu

  Ni habar njema kwa wapenzi was Chelsea

  Jibu

  Ngolo yuko vizur sana

  Jibu

  Yupo vizur

  Jibu

Acha ujumbe