Hii ni Ofa ya Man City kwa Frenkie de Jong

Manchester City wameripotiwa kuwa wamewasilisha ofa rasmi ya €90m (£75m) kwa nyota wa Barcelona Franke de Jong.

De Jong amekuwa mchezaji muhimu wa Barcelona tangia alipowasili klabuni hapo mwaka 2019.

Hata hivyo, licha ya umuhimu wa Frenkie de Jong Barca, kumekuwa na mawazo kuwa anaweza kuweka sokoni ili kupunguza changamoto ya kifedha klabuni hapo.

Uwepo wa Gavi na jitihada zake zinahatarisha hatma ya nafasi ya De Jong kwenye kikosi cha kwanza cha Barcelona ikiwa Pedri atarejea kutoka kuuguza majeraha.

Frenkie de Jong
Frenkie de Jong

Nyota huyu mwenye uraia wa Uholanzi, atakuwa kama mchezaji wa ziada, na bila shaka anahitaji muda zaidi wa kucheza kwa upande wake.

Kwa mujibu wa chapisho la Fichajes, ambao walikuwa wakivutiwa na staa huyu kwa muda sasa tangia alipokuwa Ajax, wamejaribu kuwasilisha ofa yao kwa Barcelona ya €90m.

Taarifa inataja kuwa bila shaka Barcelona watakuwa tayari kumuachia Frenkie de Jong aondoke, na kutengeneza faida ya £10m.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.