Manchester City Kuanza Mazungumzo na Haaland January.

Ripoti mbalimbali zinasema Klabu ya Manchester City inatarajiwa kuanza mazungumzo na wakala wa mshambuliaji wa Borrusia Dortmund, Erling Haaland katika majira ya baridi mwezi January.

 

Mino Raiola ambaye ni wakala wa mchezaji huyo inasemekana anafurahia kuanza kwa mazungungumzo hayo mwezi January wakati dirisha la usajili litakapo funguliwa.

Manchester City wanatajwa kuongoza katika kinyang’anyiro cha kumsajili mchezaji huyo, nyuma ya Real Madrid na Chelsea walioshindwa kumpata katika majira ya kiangazi.

Haaland anatarajiwa kuondoka Dortmund msimu ujao kwa dau la €75 million (£64m/$87m) ambalo lipo katika mkataba wake wa sasa. Mchezaji huyo amefunga magoli 68 katika mechi 67 alizocheza akiwa na miamba hiyo ya Bundesliga.


PIGA MKWANJA NA LA ROUGE

Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.