Meneja Frank Lampard amezungumzia Hatma ya mkataba wa Willian. Meneja huyu amesema kuwa Chelsea bado wanahitaji huduma ya staa huyu kwa msimu ujao, wakati kikosi kikiwa kinaendelea kuzingatia maandalizi ya gemu zilizosalia.
Kwa mujibu wa Lampard, mazungumzo juu ya mkataba wa Willian bado yanaendelea. Nyota huyu Mbrazili mwenye miaka 31 alikubali mkataba wa mda mfupi ili kumalizia kampeni ya msimu huu.
Licha ya meneja kuwa na wasi wasi juu ya hatma ya makubaliano ya mkataba wake, anaamini Willian bado atakubali kusalia klabuni hapo kwa msimu ujao.

“Klabu bado inafanya naye mazungumzo. Tunataka asalie lakini naheshimu kuwa mkataba wake ni suala kubwa kutokana na umri wake.”
“Niliwahi kuwa huko mimi mwenyewe. Lakini kwa namna anavyocheza sasa anaonesha kuwa ana thamani kubwa kwa klabu. ”
Lampard amesisitiza kuwa kwa namna yeyote, angetamani kama kwa namna yeyote watafikia makubaliano ya kumbakiza. Amekuwa mtumishi mwema kwa timu yake, angependa aendelee kuwepo.
Kama klabu ikishindwa kufikia makubaliano yenye nafuu kwa pande zote mbili, Lampard atalazimika kumtakia heri Willian.
Furahia Kubashiri KENO na Meridianbet bonyeza HAPA CHEZA KENO USHINDE


Evaluziga
Ni habari njema
David Pere
Aongeze mkataba amalizie pita wake palepale Chelsea
Theonestina
Naimani watafikia muafaka tu
Hamidu
Good news 👍
Ernest
Willian anamapenzi sana na Chelsea sema kunakipindi Chelsea hawakutambua hili.
Antony Luseno
Blues wanamhitaji sana William ni bonge la mchezaji
Angelina
Naamini watafikia muafaka
Johnmary joel
Natumaini watafikia muhafaka#,meridianbett
Fatina mfingi
Ni habar njema
Aziza mushi
Uyo mtamkosa lazma atie maguu Man u.
Dorophina
Haongeze mkataba amalizie game lake hapo Chelsea
Khadija
Habari njema kwetu#meridianbettz
Ester jackson
William aongeze tu mkataba hadi hapo atakapo staafu mana pia umri wake unakaribia akistaafu katika timu ya Chelsea itakuwa vizuri zaidi
Genia Sikaluzwe
Good news 👍
isha
Kutokana na meneja wa willian anasema kuwa bado anahitajika basi ni bora abaki tuu asiende popote
Tatu
Bonge la mchezaji angeze mkataba
Zeiyana
Nipo pamoja na lampard haina hana Chelsea kumpoteza mchezaji kama William bado haumuhimu mkubwa sana pale clabu hukizingatia na mri wake bado hunadai sana
Mariam mtandama
Safi
Caroline
Chelsea bado wanamuhitaji Willian
Rehema
Hii makala mzuri
Lydia Emmanuel Magoti
Aongezee mkataba amalizie pale pale Chelsea itakuwa poa
Mwanahamisi
Habari njema
felister
Nina Imani watafikiana muafaka
Franky
Chelsea ina mpendeza sana William czani kama ata acha kuongeza mkataba…
Shafii
Chelsea wangemuongeze Huyo jamaa mkataba wake hata miaka mitatu licha ya umri kua unamtupa mkono ila bado uwezo anao atawasaidia sanaa
Sadick
Kiwango cha Willian siku za karibuni kinavutia timu kumuongezea mkataba ingawa alihitaji mkataba wa muda mrefu na sidhani kama Chelsea itakubali hilo#meridianbettz
Fatuma kasomo
Ninaimani watafikiana muafaka
Revina
Nimchezaji ambae bado anaitajika aongeze tu mkataba
Njiku
Lampard anatamaa sna mazungumzo ya nini sasa wakati hakumuitaji mshambuliaji huyo wa kibrazil
Sabrina
Maoni:Aongeze yu mkataba hapo chelsea
Magdalena
Lampard pigania kijana abaki apo apo asiende kokote
Sylvester
Umri wake mkubwa lakini bado ni yupo fit na atawaidia Chelsea,nadhani Chelsea wangefuata matakwa anayotaka wamsainishe mkataba zaidi ya mwaka mmoja kama anavyotaka Willian
Frank Patrick
Super Frank unania gani na EPL next season …maana hao watu wako sio mchezoo
Povel
Gud update
Devotha
Asanteni kwa update
Amiri Kayera
Naiman watafikia pazur makubaliano
Furahav
Wiliam bado yuko vizuri,abaki tu hapo.
Omary lukumbi
Itakua jambo jema kama frank lampard atambakisha the blues mbrazil huyo maana a replace nafasi ya eden hazard kuisaidia Chelsea msimu ujao
Samiah
Wiliam yuko vzr abakitu hapo
mwakalosi
ni muda sasa wa kwenda kutengeneza pesa za mwisho kwenye soka
warda
Ni Mwendo Wa Mikataba Tu#Meridianbettz
Salma
Yupo vizuri wakubaliane nae
Hope mwaikuka
Duh
Asia Abdy
Wacha tuone
Gabriel
Nice update 👍
Issa
Safi