Mwisho wa Ligi nyingi duniani huambatana na sajili nyingi kufanyika kwenye klabu kutwa na hata zile ndogo. Kule Madrid, Luca Modric ameamua kuongeza mkataba utakaomuweka klabuni hapo mpaka msimu wa 2022.

Mkataba huo alioongeza nahodha huyo wa Croatia utamfanya atimize miaka 10 akiwa kama mchezaji wa Real Madrid na kujijengea heshima kubwa pale Spain na duniani kwa ujumla.
Moja ya matukio makubwa kwa Luca Modric ni kuchukua tuzo ya Ballon D’or, huku akiwatupa pembeni Ronaldo na Messi.
Luca pia atakuwa nahodha wa timu ya taifa ya Croatia katika michuano ya Euro 2020.
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.
Asant kwa makala
Safii