Monaco Wampeleka Pietro Pallegri Torino kwa Mkopo

Klabu ya As Monaco wamempeleka kinda wao mwenye miaka 20 Pietro Pellegri kwa mkopo kwenye klabu ya nchini Italia Torino fc huku kukiwa na kipengere cha kumnunua mwisho wa msimu.

Mshambuliaji huyo kinda wa kimataifa kutoka nchini Italia, ameichezea timu ya Ac Milan michezo sita kwenye msimu huu, lakini hakufanikiwa kufunga goli hata moja, mpaka klabu hiyo ilipoamua kuvunja mkataba nae na kumrudisha kwenye klabu yake ya Monaco.

Monaco

Klabu ya Ac Milan leo siku ya alhamisi ilitangaza rasmi kuachana na pallegri baada ya makata wake wa mkopo kuisha na klabu hiyo, na atakuwa huru kurudi kwenye timu yake.

Pallegri alianza kucheza mpira wake wa kulipwa kwenye klabu ya Genoa mwaka 2016, na alikuwa ndio mchezaji mdogo kuliko kwenye ligi kuu ya italia serie A kwa kipindi hicho akiwa na miaka 15 ma siku 250, akiwa pamoja na Amedeo Amedei wa klabu ya As Roma.

Pellegri alijiunga na klabu ya As Monaco mwaka 2018, na amichezea klabu hiyo michezo 23 na kufunga magoli mawili tu.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe