Ulimwengu wa soka unapitia mengi msimu huu. Majeruhi, kukosekana kwa mashabiki viwanjani ni kati ya vikwazo vikubwa. Neymar Jr atakosekana kwenye kikosi cha Brazil kutokana na majeruhi.
Nyota huyo aliumia akiwa na PSG na bado yupo nje ya uwanja kwa sasa, licha ya kuwa aliitwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Brazil, atakosena kwenye michezo miwili – Venezuela na Uruguay ikiwa ni michezo ya kuisaka tiketi ya kucheza Kombe la Dunia 2022.
Daktari wa timu ya Brazil – Rodrigo Lasmar ameeleza kuwa “tulitegemea angekuwa amepona, ndiyo maana tulimuita kwenye timu ya Taifa.
“Anaendelea vizuri lakini sio kwa kiasi cha kucheza mechi ya Jumanne dhidi ya Uruguay. Tumeamua kumuondoa Neymar.”
Brazil wameshinda michezo yao miwili ya mwisho huku Neymar akipachika hat-trick katika mchezo dhidi ya Peru.
Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!



Hopemwaikuka
Get well soon Neymar
Khadija
Pole sana neymar
Lydia Emmanuel Magoti
Duu pole Neymar
Zeiyana
Msimu huu wa ligi mambo mengi yatabadilika ukiachilia mbali majerui kuna korona poa
Elika
Pole sana
Dorophina
Pole yake neymar klabu nyingi zinaandamwa na majeruhi sana
magdalena
pole sana neymar
Saupha mohamed
Pole sana neymar
Adelta
Kijana neymar pole Sana
Sadick
Brazil inatakiwa kufikiria mbadala wa Neymar, hajaisaidia Brazil kwa kiasi kilichotarajiwa, hana maajabu
ester jackson
Dash pole sana neymaar mana pengo lako sijui nani atakae liziba kwa kweli Brazil wanawakati mgumu
Fatina mfingi
Duuh pole neymar
Povel
Brazil inabid waangaliah mbadala wa neymar kwenye mashindano makubwa kwn neymar amekuwah katika msimu wa majeruh kila hanapo hitajika kwny majukum ya timu ya taifa
Tatu
Pole sana
Mwajumah
Pole sana
Issa
Neymar amekua mchezaj muhim kwenye. Kikosi cha brazil
Sabrina
Duuh pole Neymar limekua pengo brazil
Fatuma kasomo
Dah pole sana
Latifa juma mohamed
Pole Sana neymer.
Sauda
Naye ana majanga
Carolyn
Pole Sana neymar
Angelina
Sijui mbadala wake atakuwa nan
Rahma
Pole sana
aisha
Amekua mchezaj muhim brazil ila aongeze umakin uwanjan