Kipa wa zamani wa klabu ya Chelsea Petr Cech ambaye kwa sasa ni mkurugenzi wa ufundi ameelezea jinsi ilivyokuwa ngumu kwa Thomas Tuchel kuamua ni kipa gani acheze mchezo wa fainali ya Club World Cup.
Kepa ameanza michezo yote ambayo Edouard Mendy alikuwa kwenye mashindani ya AFCON, Kepa alionyesha kiwango kikubwa kwenye michezo nane ambayo alicheza aliweza na kumvutia Tuchel, ilitarajia kuwa Kepa agekuwepo kwenye mchezo wa fainali siku ya Jumamosi.

Petr Cech alipohojiwa na kituo cha Channel 4 alisema, “tuna magolikipa bora zaidi, wite wanafanya vizuri msimu huu, ni mgumu kuchagua, sawa na wachezaji 25 lakini unahitaji 11 tu kwenye uwanja, tulichagua kumanzisha Mendy sababu yeye ni golikipa namba moja, alikuja na alifanya mazoezi na timu na alikuwa tayari.
“Nadhani ulikuwa umamuzi mgumu kufanya lakini ni golikipa namba moja na anacheza.”
Chelsea waliweza kulipa kisasi cha mwaka 2012 baada ya kufungwa kwenye mchezo wa fainali ya Club World Cup dhidi ya klabu kutoka Brazili Corithians kwa 1-0.
Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.