Philippe Coutinho Kwenda Aston Villa?

Kocha wa klabu ya Aston Villa Steven Gerrard yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Barcelona ili kuweza kumchukua kiungo Philippe Coutinho kwa mkopo wa miezi sita.

Philippe Coutinho ameshawai kucheza timu moja na kocha huyo katika klabu ya Liverpool kwa muda wa miaka miwili, Steven Gerrard pia anavutiwa na kiungo ambaye hapewi nafasi ya kutosha kwenye klabu ya Barcelona licha uwepo wa kocha mpya kwenye klabu hiyo.

Philippe Coutinho

Coutinho hajaweza kumshawishi kocha wake kiasi kwamba ameshindwa kupata nafasi kama wanazopata Gavi, Nico Gonzalez, Frenkie de Jong  na Pedri kwenye kikosi cha Barcelona.

Barcelona kwa sasa wapo katika hali mbaya ya kiuchimi huku wakiwa na mipango ya kupunguza hati za malipo ya mishahara, ili waweze kuwasajiri wachezaji wapya ambao wamewanunu hivi karibuni kwenye timu ya wakubwa ambao ni Ferran Torres na Dani Alves.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.