Ralf Rangnick: Haitusaidii Kuangalia Timu Nyingine

Kocha wa muda wa klabu ya Man Utd Ralf Rangnick baada ya kutoa sare na klabu ya Leicester City ameeleza kuwa klabu yake inapaswa kuwekeze nguvu kwa ajiri yao na sio kuwaangalia washindani wao ambao wanashindania kupata nafasi ya nne.

Kikosi cha Ralf Rangnick kimepoteza alama mbili kwenye mbio za kutafuta nafasi ya nne dhidi ya Arsenal na Tottenham ambapo Man Utd waliwakaribisha Leicester kwenye dimba la Old Trafford.

Ralf Rangnick
Ralf Rangnick

Ralf Rangnick akizungumza na waandishi baada ya mchezo kuisha alisema, “siwezi kukwambia ikiwa mbio za kutafuta nafasi ya nne imeisha. sijui wapi Manchester United itakuwa kwenye nafasi gani kwa msimu Ujao.

‘Kwetu sisi, ni kazi yangu, kazi yetu, kazi ya wachezaji wetu, kumaliza msimu huu kwenye nafasi za juu iwezekanavyo.”

Akizungumzia mchezo ambao alipate sare, “Leo matokeo hayajatufanya tuwe vizuri na kupoteza alama nyingine mbili, kwetu sasa ni kuhusu kujiandaa na mchezo unaofuata, kwenye dimba la Goodison Park, tunahitaji alama tatu kwenye huo mvhezo na mchezo tutakoa wakaribisha Norwich.

“Haisidii kuangali msimamo kila mwisho wa wiki na mzunguko na kutabiri nini kitakachotokea na kuangalia ni alama ngapi tunahitaji, sasa ni nni tutaweza fanya ili kupata alama tatu kwa Everton.”


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

Acha ujumbe