Real Madrid Wamuongezea Mkataba Maite Oroz hadi 2025

Klabu ya Real Madrid wamemuongezea mkataba kiungo wao wa timu ya wanawake Maite Oroz gadi mwaka 2025 ambaye walimsajiri mwaka 2020 kutokea klabu ya Athletic Bilbao.

Tokea asajiriwe kwenye msimu wa 2019/20 amekuwa nguzo muhimu kwenye timu ya Real Madrid hususani kwenye eneo la kiungo ambapo anatengeneza sana mashambulizi huku akisaidiwa na David Aznar ambaye amekuwa akicheza chini na kuweza kuishawishi klabu hiyo iweze kumpatia mkataba mrefu.

Real Madrid

Maite Oroz ni mchezaji wa kimataifa kutokea nchini Hispania ambapo alianza kucheza soka la kulipwa kwenye klabu ya Athletic Bilbao mwaka 2015 hadi 2020 ambapo aliweza kuhamia kwenye klabu ya Real Madrid na ambapako ancheza hadi sasa.

Maite Oroz ameiwakilisha taifa lake la Hispania kwenye michuano mbalimbali ikiwemo,  2013 UEFA Women Under-17 Championship, 2014 FIFA U-17 Women World Cup  2015 UEFA Women’s Under-17 Championship, 2016 UEFA Women’s Under-19 Championship 2018 FIFA U-20 Women’s World Cup


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe